UISLAM UNAAMINI KITABU GANI
Posted by
Uislam unaamini kitabu gani?
Tunapo ongea kuhusu vitabu vya Mungu.
Basi jua kwamba vitabu vyote ni mali ya
waislam. Sababu hakuna kitabu kilishuka kwa kuwaongoza watu nje ya uislam. Na
uhalisia ni kwamba kila kitabu kilishuka ili kiwaongoze waislam wa zama hizo.
Qur an 3:3 "aliteremsha taurat
na injili zamani ili ziwe uongozi kwa watu"
Vitabu vya Allah ni
1 Taurat
Kitabu hiki kilishuka mlima sinai
kupitia nabii Musa.
4:4 malaki " ikumbukeni torati
ya musa mtumishi wangu" hapo unaona torati ni ya Musa lakini Musa dini
gani?
Zaburi ya daudi jee Daudi dini gani?
1:14 marko injili ya Yesu jee Yesu
dini gani?
Qur an Muhammad (saw) jee Muhammad dini
gani?
Jibu hawa wote dini yao ni moja
42:13 " amekupeni sharia ya dini
ile ile tuliyo muusia Nuhu na tukakufunulia wewe
Na tuka muusia Ibrahim Na Musa Na
Issa kwamba simamisheni dini wala msifarikiane kwayo"
Nadhani mpaka hapo tumejua kuwa
vitabu hivyo walishushiwa
manabii na manabii hao dini yao ni
moja japo walikuja kwa nyakati tofauti.
Jee ipi dini ya manabii???
Na kipi kitabu cha mkiristo?
Mkiristo hana kitabu sababu hana
nabii na hakuna nabii Mkiristo.
Usikose mada ipi dini ya manabii.



0 comments:
Post a Comment