NANI MWENYEZI MUNGU
Posted by
Nani mwenyezi Mungu?
Unapo sema mwenyezi Mungu
Ni uweza unaoweza usiwezwa na kinacho wezeshwa.
Ambaye si mwingine bali ni yeye muumbaji.
Ni uweza unaoweza usiwezwa na kinacho wezeshwa.
Ambaye si mwingine bali ni yeye muumbaji.
2:225
" mwenyezi Mungu hakuna mola ila yeye..........."
Ni mwenye kuumba na kuanzisha kila jambo
Ni mwenye kuumba na kuanzisha kila jambo
2:117 " yeye ndie muumbaji wa mbingu na ardhi na anapo taka jambo huliambia kua likawa"
33:6
zaburi " kwa neno la BWANA mbingu ilifanyika na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa."
Ambaye Mwenyezi Mungu ni mwenye kujulikana kwa majina mazuri.
Ambaye Mwenyezi Mungu ni mwenye kujulikana kwa majina mazuri.
Kwa kiswahili una sema Mwenyezi Mungu
Kiarabu Allah.
Waingereza wanamwita God.
Lakini kumwita Mwenyezi Mungu kwa jina la God ni kosa sababu Mwenyezi Mungu ni mmoja.
Na neno God lina wingi ambao ni Gods.
Na neno God lina wingi ambao ni Gods.
Na jina Allah halina wingi.

0 comments:
Post a Comment