USIKUBALI KUWA MKIRISTO

Posted by Unknown


KWANINI NIKUSHAURI KUKAKATAA UKIRISTO!!!!!


sababu ni kwamba hakuna faida yeyote utakayoipata mbele yamuumba wako iwapo utafia katika ukiristo
15:19 1wakorintho "tena kama katika maisha tumemtumaini kristo,sisi tu masikini kuliko watu wote"

umasikini huo si wakufilisika biashara bali ni umasikini wa kukosa baraka ya mola wako.

7:21 mathayo "si kila mtu aniambiye Bwana Bwana ndiye atakaye ingia katika uzima wa milele,bali ni yeye afanyaye  mapenzi ya baba yangu aliye mbinguni.wengi wataniambia siku ile,bwana hatukufanya unabii kwa jina lako,na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi??
ndipo nitakapo waambia dhahiri,ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu."
niniumegundua,

kuna watu hufanya miujiza na kutoa pepo kwa jina la yesu,lakini watu hao watakataliwa na Yesu kwa sababu walikuwa ni watenda maovu, ina maana kukaa kupiga kelele na kutoa pepo kwa jina la Yesu huo ni ouvu na Yesu hana radhi au kuridhia jambo hili,

jee wanao tenda mambo haya ni waislam?
jibu ni wakristo
kumbe fundisho ni kuwa wakristo ni watenda maovu
ushauri wangu kwako epuka ukiristo  uje katika uislam. 3:19 qur an "bila shaka dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislam'.......................

ISLAMICDAAWA19.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment