MWANAMKE WA KIKRISTO NA WA KIISLAM YUPI MWENYE THAMANI?

Posted by Unknown



kweli ni kwamba mwanamke wa Kiislam anatakiwa afurahi sana kuwa Muislam, kwani hakuna dini inayo thamani mwanamke kuliko uislam, na ndiyo mana ukiangalia maandiko utaona jinsi wanawake wa kikristo wanavyo dharaulika n a kukosa thamani.

qur aan 24:31  "waambie wanawake waislam, wainamishe macho yao na wajilinde tupu zao, na waangushe shungi zao mpaka vifuani mwao na wala wasi dhihirishe viungo vyao ila vinavyo dhihirika, na wasioneshe mapambo yao ila kwa waume wao".......................................

nadhani utaanza kuona jinsi mwanamke anavyo thaminiwa.
iwapo atakuwa na mapambo basi ayahifadhi na kujistiri kwa nguo zenye heshima,
lakini

1wakorintho 11:15" lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake kwa maana amepewa nywele ndefu ziwe bada ya mavazi"

hebu tutafakari hizo nywele ndefu ambazo mwanamke mkiristo akiwa nazo hana haja ya nguo, ni nywele aina gani?

ni dalili kuwa mwanamke mkiristo hana thamani, huenda ikawa sababu ya wanawake wakristo kukosa haya na kutembea uchi kwa kuwa wameambiwa wafuge nywele badala ya kuvaa nguo.
islamicdaawa19.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment