KICHEKESHO KATIKA UKIRISTO
Posted by
2:21 Luka
"hata ilipo timia siku nane ya kumtahiri aliitwa jina lake Yesu,kama alivyoitwa na malaika bkabla hajachukuliwa mimba"hapa tunaona kuwa Yesu katahiriwa lakini huyu mtahiriwa unaambiwa yeye ndiye mungu, sasa ina maaana huyu mungu kabla hawajamtahiri alikuwa mungu mwenye govi !!!!!
na jee aliye mtahiri na yeye aliyetahiriwa nani kamrekebisha mwenzake!!!!!!
jeee mungu alisahau kama hatakiwi kuwa govi mpaka aje nalo duniani!!!!!
nadhani kuamini kuwa yesu ni mungu ni imani ya commedy.
wakristo njooni katika uislam
islamicdaawa19.blogspot.com





