KICHEKESHO KATIKA UKIRISTO

Posted by Unknown



2:21 Luka
"hata ilipo timia siku nane ya kumtahiri aliitwa jina lake Yesu,kama alivyoitwa na malaika bkabla hajachukuliwa mimba"
hapa tunaona kuwa Yesu katahiriwa lakini huyu mtahiriwa unaambiwa yeye ndiye mungu, sasa ina maaana huyu mungu kabla hawajamtahiri alikuwa mungu mwenye govi !!!!!
na jee aliye mtahiri na yeye aliyetahiriwa nani kamrekebisha mwenzake!!!!!!
jeee mungu alisahau kama hatakiwi kuwa govi mpaka aje nalo duniani!!!!!
nadhani kuamini kuwa yesu ni mungu ni imani ya commedy.
wakristo njooni katika uislam
islamicdaawa19.blogspot.com

NANI MTUME WA UUMA HUU

Posted by Unknown


Kila umma huwa una kuwa na Mtume wa umma huo, lakini la ajaabu ni kwamba kuna watu mpaka leo hawajajua nani wanatakiwa kumfuata.

7:158 qur aan  "Sema ewe nabii Muhammad (saw), enyi watu,hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu ninyi nyote"

hii ni qauli toka kwa mola muumbaji kwamba Mtume wa watu wote, lakini utashangaa mtu kumkataa Mtume wake na kusema anamtaka Yesu, hali yakuwa Yesu kasema

17:9 yohana  "mimi nawaombea hao siuombei ulimwengu"

Yesu yeye si Mtume wa ulimwengu ila anawaombea hao, hao kina nani?

15:24 Mathayo "akajibu akasema sikutumwa ila kwa kondoo walio potea wa nyumba ya Israel"

ni wazi halihitaji ubishi
yesu ni mtume maalum kwa wana wa israel na Muhammad (s.a.w) ni kwa watu wote.
lililo bora ni kuokoa nafsi yako na kuingia katika uislam ili umfuate Mtume wa watu wote.
islamicdaawa19.blogspot.com

YESU NI NANI?

Posted by Unknown


LEO DUNIA INA VITUKO KILA AINA


inashangaza kusikia kuwa kuna binaadamu wenzetu wanasema kuwa Yesu ni Mungu wao.
8:40 Yohana "lakini sasa mnatafuta kuniua mimi mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli niliyo isikia Mungu."

hii ni kauli ya Yesu huyo ambaye wanaitikadi kuwa ni Mungu, anasema kuwa yeye ni MTU aliye siki maneno toka kwa MUNGU.
Inawezekanaje aliyetumwa na Mungu kuwa MUNGU??
lazima iwe ajabu pia zingatia kuwa
23:19 hesabu "mungu si mtu aseme uongo, wala si mwanaadamu ajute"

lakini Yesu anasema kuwa yeye ni mtu, vipi awe Mungu?
3:16 Yohana  "kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanawe pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele"

hoja

huyo mwana mpendwa aliye tumwa na Mungu ni nani?

kama mwana ni Yesu jee mungu ni nani ili yesu awe mwana??

kama mungu ni yesu jee mwana ni nani ili yesu awe mungu??

ni wazi yesu si mungu
islamicdaawa19.blogspot.com

IPI NYUMBA YA KUMUABUDIA MUNGU WA KWELI????

Posted by Unknown



Ukweli ni kwamba tukihitaji kumuabudu aliye kuumba lazima ufate yale ambayo yameelekezwa na manabii yakiwa yametoka kwa mola wao.
kama unahitaji kumuabudu mola nyumba ikufaayo ni
72:18 qur aan  "kwa hakika misikiti yote ni ya Mwenyezi Mungu,na usimuabudu yeyote pamoja na MWENYEZI MUNGU"

na ndiyo maana waislam kwa kuzingatia hilo tumealazimika kufuata nyendo za manabii

4:44 Luka "basi alikuwa akihubiri katika masinagogi ya Galilaya"  

huyu ni Yesu masihi yeye alikuwa akihubiri katika masinagogi, jee SINAGOGI ni nini????
sinagogi ni neno la Kiyahud lenye tafsiri ya kiswahili "MSIKITI"
sasa kama Yesu kahubiri ndani ya misikiti, jee nani kawaambia watu wahubiri makanisani???

11:17 1Wakorintho    "lakini katika kuagiza haya siwasifu, kwamaana mnakusanyika si kwa faida bali kwa hasara,kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu,nami nusu nasadiki."

tunaona maneno yaliyo nyooka kwamba kanisani hakuna faida ila ni hasara, sasa kuna haja gani mtu kuingia katika nyumba yenye hasara na kuacha ile ambayo manabii waliitumia na kuwapeleka katika ucha Mungu?

Achana na ibada za Kanisani kwa kuwa zinakusababishia hasara na matokeo ni kwenda motoni. 
njoo msikitini ambapo faida yake ni kwenda peponi.

islamicdaawa19.blogspot.com

MWANAMKE WA KIKRISTO NA WA KIISLAM YUPI MWENYE THAMANI?

Posted by Unknown



kweli ni kwamba mwanamke wa Kiislam anatakiwa afurahi sana kuwa Muislam, kwani hakuna dini inayo thamani mwanamke kuliko uislam, na ndiyo mana ukiangalia maandiko utaona jinsi wanawake wa kikristo wanavyo dharaulika n a kukosa thamani.

qur aan 24:31  "waambie wanawake waislam, wainamishe macho yao na wajilinde tupu zao, na waangushe shungi zao mpaka vifuani mwao na wala wasi dhihirishe viungo vyao ila vinavyo dhihirika, na wasioneshe mapambo yao ila kwa waume wao".......................................

nadhani utaanza kuona jinsi mwanamke anavyo thaminiwa.
iwapo atakuwa na mapambo basi ayahifadhi na kujistiri kwa nguo zenye heshima,
lakini

1wakorintho 11:15" lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake kwa maana amepewa nywele ndefu ziwe bada ya mavazi"

hebu tutafakari hizo nywele ndefu ambazo mwanamke mkiristo akiwa nazo hana haja ya nguo, ni nywele aina gani?

ni dalili kuwa mwanamke mkiristo hana thamani, huenda ikawa sababu ya wanawake wakristo kukosa haya na kutembea uchi kwa kuwa wameambiwa wafuge nywele badala ya kuvaa nguo.
islamicdaawa19.blogspot.com

USIKUBALI KUWA MKIRISTO

Posted by Unknown


KWANINI NIKUSHAURI KUKAKATAA UKIRISTO!!!!!


sababu ni kwamba hakuna faida yeyote utakayoipata mbele yamuumba wako iwapo utafia katika ukiristo
15:19 1wakorintho "tena kama katika maisha tumemtumaini kristo,sisi tu masikini kuliko watu wote"

umasikini huo si wakufilisika biashara bali ni umasikini wa kukosa baraka ya mola wako.

7:21 mathayo "si kila mtu aniambiye Bwana Bwana ndiye atakaye ingia katika uzima wa milele,bali ni yeye afanyaye  mapenzi ya baba yangu aliye mbinguni.wengi wataniambia siku ile,bwana hatukufanya unabii kwa jina lako,na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi??
ndipo nitakapo waambia dhahiri,ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu."
niniumegundua,

kuna watu hufanya miujiza na kutoa pepo kwa jina la yesu,lakini watu hao watakataliwa na Yesu kwa sababu walikuwa ni watenda maovu, ina maana kukaa kupiga kelele na kutoa pepo kwa jina la Yesu huo ni ouvu na Yesu hana radhi au kuridhia jambo hili,

jee wanao tenda mambo haya ni waislam?
jibu ni wakristo
kumbe fundisho ni kuwa wakristo ni watenda maovu
ushauri wangu kwako epuka ukiristo  uje katika uislam. 3:19 qur an "bila shaka dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislam'.......................

ISLAMICDAAWA19.BLOGSPOT.COM

NANI MWENYEZI MUNGU

Posted by Unknown


Nani mwenyezi Mungu? 

Unapo sema mwenyezi Mungu
Ni uweza unaoweza usiwezwa na kinacho wezeshwa.
Ambaye si mwingine bali ni yeye muumbaji.
 
2:225 
" mwenyezi Mungu hakuna mola ila yeye..........."
Ni mwenye kuumba na kuanzisha kila jambo
 
2:117 " yeye ndie muumbaji wa mbingu na ardhi na anapo taka jambo huliambia kua likawa"
 
33:6 
zaburi " kwa neno la BWANA mbingu ilifanyika na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa."
 

Ambaye Mwenyezi Mungu ni mwenye kujulikana kwa majina mazuri.
 
Kwa kiswahili una sema Mwenyezi Mungu
Kiarabu Allah.
 
Waingereza wanamwita God.
Lakini kumwita Mwenyezi Mungu kwa jina la God ni kosa sababu Mwenyezi Mungu ni mmoja.
Na neno God lina wingi ambao ni Gods.
 
Na jina Allah halina wingi. 


UISLAM UNAAMINI KITABU GANI

Posted by Unknown



 

Uislam unaamini kitabu gani?

Tunapo ongea kuhusu vitabu vya Mungu. Basi jua kwamba  vitabu vyote ni mali ya waislam. Sababu hakuna kitabu kilishuka kwa kuwaongoza watu nje ya uislam. Na uhalisia ni kwamba kila kitabu kilishuka ili kiwaongoze waislam wa zama hizo.

Qur an 3:3 "aliteremsha taurat na injili zamani ili ziwe uongozi kwa watu"
Vitabu vya Allah ni

1 Taurat
Kitabu hiki kilishuka mlima sinai kupitia nabii Musa.

4:4 malaki " ikumbukeni torati ya musa mtumishi wangu" hapo unaona torati ni ya Musa lakini Musa dini gani?

Zaburi ya daudi jee Daudi dini gani?
1:14 marko injili ya Yesu jee Yesu dini gani?

Qur an Muhammad (saw) jee Muhammad dini gani?
Jibu hawa wote dini yao ni moja

42:13 " amekupeni sharia ya dini ile ile tuliyo muusia Nuhu na tukakufunulia wewe

Na tuka muusia Ibrahim Na Musa Na Issa kwamba simamisheni dini wala msifarikiane kwayo"

Nadhani mpaka hapo tumejua kuwa vitabu hivyo walishushiwa

manabii na manabii hao dini yao ni moja japo walikuja kwa nyakati tofauti.

Jee ipi dini ya manabii???

Na kipi kitabu cha mkiristo?

Mkiristo hana kitabu sababu hana nabii na hakuna nabii Mkiristo.

Usikose mada ipi dini ya manabii.


 

MUNGU NI MMOJA

Posted by Unknown







Mwenyezi Mungu mmoja.
Tunapo sema Mungu mmoja.
Hii ndiyo imani msingi ya uislam.

Kwani hakuna dini inayo amini Mungu mmoja zaidi ya uislam. Na zilizo baki zote ni zile zenye kumshirikisha Mungu kwa kujenga imani ya utatu.
Na hii imani ya Mungu mmoja ni imani yake tangu manabii wa zamani.

20:3 Kutoka " usiwe na miungu mingine ila mimi" haya maneno anaambiwa nabii Musa as.
Kwamba Mungu ni mmoja.

83:18 zaburi " wajue ya kuwa wewe uitwaye jina lako Yehova ndiwe peke yako uliye juu, juu ya nchi yote. Huyu ni nabii Daud anafundisha Mungu mmoja.

17:3 Yohana." Na uzima wa milele ndiyo huu wakujue wewe munguvwa pekee wa kweli na Yesu kristo uliye mtuma." Yesu naye anafundisha kuwa kuna mungu mmoja. Lakini ajabu utashangaa mtu anakwambia eti yesu ndiye Mungu mwenyewe.

Itakuwa ni kichekesho kama si msiba kuamini kuwa yesu ni Mungu.

114:1 qur an " sema yeye ni mwenyezi mungu mmoja tu" mafundisho ya mtume Muhammad sa


Imani ya Mungu ni imani ya uislam.
Sababu imani nje ya uislam haisimami kwa uwepo wa Mungu mmoja ila husimama kwa kumshirikisha Muumba wao na kuamini kuwa Mungu ni watatu. Jambo ambalo uislam haukubali

5:73 qur an " bila shaka wamekufuru wale wanao sema Mwenyezi Mungu ni mmoja katika watatu..............."

Basi tujiepushe na shirki ya kusema mungu ni utatu kwa kusimama katika tauhidi ya kuamini Mungu ni mmoja.